Soya Kavu (Soya Beans Meals )

5 maoni Malisho na virutubisho #15501

Maelezo

JIPATIE SOYA KAVU ( Soya Beans Meal) Mahususi Kwa ajili Ya Kuimalisha Afya ya Mifugo Wako
Ina protini nyingi ya kumsaidia mfugo wako kama kuku, mbuzi ,ngombe na Nguruwe kukuaa haraka
Imeandliwa vizuri kwa matumizi kwahiyo unaenda kuchanganya tu ili kuokoa muda
Ipo kwenye package ya 50kg
Tunauza jumla (Bulk Orders ) na Rejareja
Tunapatikana Tegeta Kwa Ndevu Karibu na Umeme Wa Zanzibar
Tupigie + ili uweze kupata .

Sifa

Kategoria
Malisho na virutubisho
Kiasi
50.00 kg