Lysine Monohydrochloride (Lysine Ya Mifugo)

2 maoni Malisho na virutubisho #15502

Maelezo

Jipatie Lysine Mahususi kwa ajili ya kuimarisha afya ya mifugo wako kuku mbuzi ngombe farasi na Ngamia
Ni Amino Acid Husaidia kwenye ukiwaji wa misuli na Mwili wa mifugo wako
Ni rahisi kutumia
Tunapatikana Tegeta Kibo Dar es salaam
Tupigie Leo ili uweze kupata

Sifa

Kategoria
Malisho na virutubisho
Hali
New
Chapa
Lysine