Floating Fish Feeds (Chakula Cha Samaki)

17 maoni Malisho na virutubisho #15498

Maelezo

JIPATIE Chakula Bora kwa Ukuaji wa Haraka wa Samaki
Lishe kamili kwa afya bora na uzalishaji mkubwa wa samaki wako.
Sifa Kuu za Bidhaa:
Protini ya juu kwa ukuaji wa haraka
Madini na vitamini kamili kwa kinga imara
Huyeyuka vizuri bila kuchafua maji
Inafaa kwa kwa Samaki Kuanzia Miezi 4
Faida Kibiashara:
Hupunguza muda wa ufugaji
Huongeza uzito wa samaki kwa asilimia 20–30%
Hupunguza gharama ya chakula kwa matokeo bora
Tupigie + ili uweze kupata.

Sifa

Kategoria
Malisho na virutubisho
Hali
New