Super Layers Premix
Maelezo
Super Layers Premix ni kirutubisho cha chakula cha kuku wa mayai, kinachosaidia kutimiza mahitaji ya vitamini na madini, kuimarisha mifupa na maganda ya mayai, na kusaidia uzalishaji bora wa mayai.
Sifa
- Kategoria
- Malisho na virutubisho
- Hali
- New
- Kiasi
- 20000.00 kg
⭐ Pandisha tangazo juu
Chagua kifurushi. Kwa sasa malipo yako katika hali ya majaribio.
Inapakia…